ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Okay umeeleweka vyema.Simpendi Mwakinyo, ila ukweli ni kwamba kipindi anapigwa na Kaoneka, Mwakinyo alikuwa Bado under dog na Kaoneka alikuwa katoka prime yake, licha ya hivyo kwenye rematch Kaoneka alidundwa kwa Knockout round ya pili.
kunywa soda mkuu hapo ulipoSimpendi Mwakinyo, ila ukweli ni kwamba kipindi anapigwa na Kaoneka, Mwakinyo alikuwa Bado under dog na Kaoneka alikuwa katoka prime yake, licha ya hivyo kwenye rematch Kaoneka alidundwa kwa Knockout round ya pili.
Hv kumbe walisha remach na kuoneka akalazwa round ya piliSimpendi Mwakinyo, ila ukweli ni kwamba kipindi anapigwa na Kaoneka, Mwakinyo alikuwa Bado under dog na Kaoneka alikuwa katoka prime yake, licha ya hivyo kwenye rematch Kaoneka alidundwa kwa Knockout round ya pili.
NdioHv kumbe walisha remach na kuoneka akalazwa round ya pili
Hili hata mimi nililifikiria.Kukata mzizi wa fitina mwakinyo apigane na yule msouth.
Yule nadhani alichukua mkanda wa kiduku, lakini pia ana mkanda mwingine,Hili hata mimi nililifikiria.
Ila watu wanachoangalia ni maslahi ,yani hilo pambano litakusaidia nini ikitokea umeshinda?Sio unapigana pigana tu bila maslahi ya maana wala kukuvusha kwa chochote.