K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Mar 6, 2025 #1 Imekuwa tamaduni wa CCM kununua makapi ya Chadema sasa je hawa ambao ndiyo inasemekana walishirikiana kuwaweka Covid 19 kinyemela wako tayari kununuliwa hawataki kwenda bure! Kwa mawazo yangu hawatabadilisha lolote
Imekuwa tamaduni wa CCM kununua makapi ya Chadema sasa je hawa ambao ndiyo inasemekana walishirikiana kuwaweka Covid 19 kinyemela wako tayari kununuliwa hawataki kwenda bure! Kwa mawazo yangu hawatabadilisha lolote