mkananguja
Member
- Jan 30, 2014
- 55
- 3
Naomba msaada kwa wale waliofanikiwa au wanaojua taratibu
Kwani kama mwl. huna TSD huruhusiwi kufanya taratibu za kuhama kituo cha kazi kwa kubadilishana kama kutuma barua tamisem huku ukisubir TSD?
#0753884902