Je! Mwalimu Unaweza kubadili kituo wakati unasubiri TSD ?

mkananguja

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Naomba msaada kwa wale waliofanikiwa au wanaojua taratibu

Kwani kama mwl. huna TSD huruhusiwi kufanya taratibu za kuhama kituo cha kazi kwa kubadilishana kama kutuma barua tamisem huku ukisubir TSD?

#0753884902
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…