Dr naomba niulize, mi nina mke wangu alafu nimepiga game siku zote za hatari lakini naona damu inamtoka alafu sio nyingi na wakati bado ajamaliza circle yake? Hila bado sijampima mimba.
Damu hutoka nyepesi sana halafu huwa inatoka kidogo.
Ila kama mmefanya hivi karibuni hilo tendo la ndoa, jaribu kusubiri kama wiki tatu halafu apime mkojo kwa kutumia UPT. Mtajua kama amepata mimba au lah!