peoples power JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 475 Reaction score 100 Dec 30, 2012 #1 Hodi hapa ndani kwenu madakitali napenda nieleweshye kama mwanamke aliye wahi kufanyiwa upasuaji na kuondolewa milja yake yote miwili anaweza akapata siku zake kama kwaida.Naomba mnijuze tafadhali.
Hodi hapa ndani kwenu madakitali napenda nieleweshye kama mwanamke aliye wahi kufanyiwa upasuaji na kuondolewa milja yake yote miwili anaweza akapata siku zake kama kwaida.Naomba mnijuze tafadhali.