Je, mwanamke aliyejifungua kwa operation aweza kujifungua kwa njia ya kawaida?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Nisaidieni wandugu,
Hivi mwanamke akijifungua kwa kisu, then akabeba mimba after operation aweza kujifungua kwa njia ya kawaida?
- How long inashauriwa abebe ujauzito mwingine?
Please help me in this!
Wasalaam!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

=======================================

===================================================================
 
Anatakiwa aelewe ni nini kilipelekea akajifungua kwa operation na hicho ndicho cha kukiepuka. Ni lini azae tena bilashaka ni miaka 7 kupita baada ya yule aliyejifungua kabla kuwa ameanza kwenda shule.
 
Oh Mama kuna Jirani yangu Alijifungua majuzi juzi na Mtoto wake bahati mbaya akafariki na alijifungua kwa Opareshini namuonea imani sana maana hiyo miaka saba si mchezo.... wakati ndoa yake mbichi.... kabisa
 
Hiyo ni case nyingine sasa mkuu, hapo niliongelea mtoto akiwa ni mzima na kuwa atunzwe vya kutosha lakini kwa upande huo anaweza kusubiri miezi 18 hadi 24 ili mradi anauhakika jelaha lilipona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…