Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Uvaaji wenyewe ndio huu, alafu ukibakwa utasemaje?
Dah! Kuna siku nilikuwa nimevaa baibui nikakatiza mahali. Miluzi kibao hadi nikashangaa.
Wanaume muache tamaa.
Hivi kumbe na wewe ni mwanamke????Hopefully we umeshabadilika!Kama ulivaa baibui halafu nyuma unatikisa 'mzigo' kwa fujo lazima upigiwe miluzi. Kwa ufupi ni kwamba kuna vitendo fulani visivyo vya kawaida ndivyo huamsha hisia za vijana wa vijiweni kupiga miluzi. Wanawake tubadilike jamani!
Samahanini, kama sikosei mkiangalia picha za wazazi wetu vinguo walivyokuwa wanavaa miaka ya 70 ni 'micro minis'
Ninazo picha nyingi za waschana wa zamani in those attire au walikuwa wanavalia studios tu?
Nguo hizo za zamani, hata kwa mpenda mini wa sasa havai...
Sasa sielewi why what is now vice was once a good habit!
Kama ulivaa baibui halafu nyuma unatikisa 'mzigo' kwa fujo lazima upigiwe miluzi. Kwa ufupi ni kwamba kuna vitendo fulani visivyo vya kawaida ndivyo huamsha hisia za vijana wa vijiweni kupiga miluzi. Wanawake tubadilike jamani!
Hivi kumbe na wewe ni mwanamke????Hopefully we umeshabadilika!
Dah! Mi nashidwa kuelewa mavazi ya heshima ni yapi hasa! Maana nasikia hapo zamani watu walikuwa wanavaa kama Makilikili na mambo ya ajabu ajabu hayakuwepo! Inamaana hiki kizazi kijua kunapenda sana kuliko watu wa zamani eeh? Acheni bwana, hii ni kasumba na hulka tu za watu binafsi na sio mavazi . . Mdada anaweza vaa baibui, still miluzi kama kawa mtaani!
Kumbe wanaume mnaweza kujijumuisha kwenye neno wanawake ehhhh???Good to know!Nadhani ametumia kauli hii kwa namna hii ya maongezi.
Mfano, imegundulika wafanyakazi wa ofisi fulan wameanza tabia ya kuchelewa kazini, na kila bosi akifika anakuta labda watu wawili tu wamefika kabla ya saa mbili asubuhi. Sasa bosi amekutana nao ktk kikao na wafanyakazi na kusema " . . . jamani tubadilike"
Samahanini, kama sikosei mkiangalia picha za wazazi wetu vinguo walivyokuwa wanavaa miaka ya 70 ni 'micro minis'
Ninazo picha nyingi za waschana wa zamani in those attire au walikuwa wanavalia studios tu?
Nguo hizo za zamani, hata kwa mpenda mini wa sasa havai...
Sasa sielewi why what is now vice was once a good habit!
Dah! Kuna siku nilikuwa nimevaa baibui nikakatiza mahali. Miluzi kibao hadi nikashangaa.
Wanaume muache tamaa.
Wakuu,
Kumekuwa na ubishani kati ya makundi mawili kuhusu mavazi wanayovaa wanawake. Kundi la kwanza linaunga mkono kwamba wanawake waachwe wavae kadri wanavyojisikia isipokuwa wanaume waache tamaa zao. Kundi la pili linasisitiza juu ya uvaaji wa heshima ili kuzuia tamaa za ngono kwa wanaume.
Kama wengi wetu tunavyofahamu, kuna uvaaji wa wanawake ambao umezidi kliwango kiasi kwamba hata anapopita mitaani, vijana wa kiume hupiga miluzi kuashiria jambo fulani. Swali langu ni je, mwanamke hata akiwa na umbo la kuvutia akivaa kwa heshima na kupita katikati ya vijana anaweza akapigiwa miluzi???