switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 48
- 186
Habari wakuu..kuna sehem nimepita nimekuta mwanamke ana lalamika kuwa ameachana na mume wake mwaka 2016. Anadai hakudai Mali kabisa ila kwasasa anataka aanze mchakato wa kudai Mali ili apate mgawanyo wake..anadai yeye ndie alie kuwa chanzo cha mume wake huyo kufanikiwa kimaisha na kuwa na mali nyingi....
Wakuu hii Mimi imenichanganya sana nashindwa kuelewa amefanikisha vipi maendeleo ya mumewe ? Au ndio kauli za kishujaa za wanawake wote ?
Mimi kwa upande wangu nimeoa Nikiwa na hela za kutosha bank ,nimeoa nikiwa na kazi ya uhakika ....baada ya kuoa nikaamua nijenge nyumba kwa hela ambazo zilikuwa kwenye account yangu ya bank..pia nimefanya mambo mengi makubwa kupitia pesa ambayo ilikuwepo banki kabla ya Mimi kuoa .....je kwa baadae mke wangu atasema yeye ni chanzo cha mali zangu ? au amechangia kupatikana kwa mali zangu ?
NB Mimi sio mbinafsi ila nataka kujua mitazamo yenu