kuondokewa na hamu ya tendo la ndoa ipo.kuna age fulani ikifika[naongelea age kubwa,{maybe kuanzia 50}ingawa sio wote,wengine hamu huondoka kabisa.age ya menopause,pia baadhi ya wanawake hamu huondoka kabisa,inategemea na hormones zako mwilini.au ukitumia baadhi ya dawa za kuzuia mimba,side effect za dawa husababisha kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa.