Je,mwanamke nae anapungukiwa nguvu za kike?

Sevendayz

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
21
Reaction score
1
Mimi naomba nieleweshwe kama mschana/mke anaweza akawa na tatizo la upungufu wa nguvu/hamu ya kufanya tendo.sababu kama zipo,na solutions if pocbo.ni hayo.doctor plz...
 
kuondokewa na hamu ya tendo la ndoa ipo.kuna age fulani ikifika[naongelea age kubwa,{maybe kuanzia 50}ingawa sio wote,wengine hamu huondoka kabisa.age ya menopause,pia baadhi ya wanawake hamu huondoka kabisa,inategemea na hormones zako mwilini.au ukitumia baadhi ya dawa za kuzuia mimba,side effect za dawa husababisha kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa.
 
Sababu nyingi zaweza kuwa za Kisaikolojia zaidi... Mtazamo wako khusu mume wako.. Km umewahi kuwa na sexual patner hapo awali ambaye alikuwa anaukonga moyo wako zaidi kuliko huyu aliyepo kwa sasa, Pia kama wewe unayajua hayo mambo sana na kila ukifanya na mwenzio unaona hakufurahishi inaweza kuchangia kukuondolea hamu. Pengine kama mumeo anataka kila siku inaweza kukusababishia kukosa hamu na mda mwingine km humpendi saaaana Mr wako unaweza ukajihisi hauna hamu ya kufanya nae au kufanya kabisa..

Ambacho unaweza kufanya ni kubadilisha mitazamo yako kuhusu mtu wako... Jaribu kuituliza akili yako na uone ni vitu gan ambavyo unaona havikufurahishi/ ungependa kufanyiwa.. Unaweza kujenga mazingira ya kuwa unaongea na mwenziwako kuhusu penzilenu... Muhimu zaidi ni kumkubali mwenzio jinsi alivyo hii atakusaidia kuongeza hamu ya tendo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…