Kazi ya mtu sio kigezo cha kutokua mwaminifu...bali ni tabia binafsi!Hata unaelala nae usiku kucha anaweza kucheat!Angalia tabia ya mtu kwa kumchunguza yeye kama yeye na sio kazi anayofanya!
Hivi kumbe aaee..
duuhh pole kama yamekuukuta
My dear mie naona ikija kwenye
haya mambo yakutoka nje ya ndoa
Haichagui kazi ya mtu..
bali ni mtu na tabia zake..
Maana tukianza hivi
Hatuta maliza
tutaingia kwa wanawake mapolisi, marubani,
Office workers, n.k
Sababu shughuli kama hizo zina night shift to..
you have spoken my mind, well said tuko pamojaUnaoa kazi au mtu???
Tuwaulize na madaktari wanoingia night basi.
Wewe huwezi kujaji mtu kwa kazi yake bana angalia tabia yake na mwenendo wake na ujiridhishe
Ndugu zangu, kwa experience niliyonayo nimegundua kuwa ndoa inayohusisha mwanamke ambaye ni nurse inakuwa mateso. Kama mjuavyo hawa manurse wanakuwa na 'night' na nimegundua kupitia hzo night hawa wanawake huwasaliti waume zao kwa kutembea na madaktari! Mwanamke anaweza kuwa mwaminifu kwa kipindi flani kwenye ndoa lakini kulingana na nature ya kazi yake kuwa na 'night' anajikuta ashaingia kwenye vishawishi! Naomba sana kwa wanaume ambao wameo manurse na wameishi nao kwa zaidi ya miaka 15, watujuze ni kwa jinsi gani wameweza kukabiliana na hizi challenges.