Je mwanamke uko tayari?

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
2,824
Reaction score
2,264
Habari zenu wana JF,

Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote anayedhani namfaa au ananifaa tuweze kuwasiliana, pengine hapa ndio mahali ambapo Mungu amepanga hasa tukutane.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 (kijana wa makamo), ninafanya kazi katika kampuni binafsi, mrefu kiasi, mweusi mwenye umbo la wastani. Ninaishi Arusha na Dar -es –Salaam.


Natafuta mchumba mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18 – 30. Elimu kuanzia ya sekondari na kuendelea, awe anafanya kazi au awe tayari kufanya kazi ya kujiajiri au kuajiriwa. Awe mkristu au kwa ambaye sio mkristu awe tayari kubadili dini. Awe mcha Mungu, anayejiheshimu, asiye na majivuno wala mwenye makuu, mwenye tabia nzuri na mpenda maendeleo kwa ujumla.

Kwa mwenye nia ya dhati tu aniPM au kuniandikia e-mail kupitia onyango.alex@gmail.com.

Maoni yanakaribishwa pia.
 
omera safi sana
mungu akusaidie umpate wa ukweli
 
kwenye avatar apo ndo wewe?
km si wewe basi ni pm ......:smile-big::smile-big::smile-big:!!!!!!
 
kwenye avatar apo ndo wewe?
km si wewe basi ni pm ......:smile-big::smile-big::smile-big:!!!!!!

hahahaaa kwa nini kama si mimi ndio nikuPM? huyo wa kwenye avatar hajakuvutia?
 
ushauri wa mtarajiwa; AWE FUNDI WA KUPIKA NYUKA(UJI):smile-big::smile-big:
 
hahahaaa kwa nini kama si mimi ndio nikuPM? huyo wa kwenye avatar hajakuvutia?

kanivutia lakin mmhh anaonekana ivi...
1.anaonekana ana majigambo km si mbwembwe
2.ana tabia za kikongo ivi
3.sipend mwanaume anayevaa masut sut ivo km anaenda kuppresent pepa kumb anaenda tu saluni kunyoa
4.anaonekana anajipenda yeye tu na concern juu ya familia yake ni C KM SIYO D au F
nimekujibu?una swali lingne?karibu
 

ahaa, nimekuelewa. Wakati mwingine muonekano wa mtu unaweza ukawa tofauti na tabia zake. Kwa upande wako inaonekana unachagua kupita kiasi. Wakongo wana tabia gani usizopenda Rose?
 
ahaa, nimekuelewa. Wakati mwingine muonekano wa mtu unaweza ukawa tofauti na tabia zake. Kwa upande wako inaonekana unachagua kupita kiasi. Wakongo wana tabia gani usizopenda Rose?

mi sichagui kakangu ila nisichotaka ni MWANAUME MWENYE MBWEMBWE ,MAJIGAMBO,ANAYEJIBUST ...APANA

napenda mwanaume wa kawaida ..asiye na makuu ,wakawaida tu,anayevaaa simpo siyo manguo ya gharama sana apana ni kawaida tu cz i do believe mwanaume anayevaa masut daily pasipo sababu maalumu,anayevaa machen ,maviatu ya laki 5 namchululia km ana matatizo..napenda usafi na si mambo ya show off...
mwanaume kwangu ninamthamin kwa up stairs yake awe km;
..controler wangu
..director wangu
..advicer wangu

YAAN AWE KIMBILIO LANGU KWA CHOCHOTE NITAKACHOSHINDWA/UWEZO WANGU WA UBONGO UTAKAPOISHIA BAS ANIPE TAFU...n nt material thng..
sipend wanasesere au wanaojifanya km wametoka na kat ya kinshasa....m simple by nature so napendsa mwanaume simpo km mimi ..mimi sipak sjirembi ata poda sigusi iweje sasa men wangu awe abanduki dresssng trebo na mapoda kumi kumi ,wanja ,lip stk....ohhh no for that case nakuruhusu uniite nachagua sana bt MANJONJO BOY noooo apa hawana nafasi
 
ur in luuuuuvvvv:love::love::love:..jipakae lami uwe mweuthhh ka yeye...

hahhaaaa haaa i want u mimi...wewe mweupe tayariii...smtak nyau mimi ataniibia samak wangu..!!!!!!!!!
 
ahaa, nimekuelewa. Wakati mwingine muonekano wa mtu unaweza ukawa tofauti na tabia zake. Kwa upande wako inaonekana unachagua kupita kiasi. Wakongo wana tabia gani usizopenda Rose?

trust me muonekano unamata
chek wanaovaa km wanamuziki tabia zao zikoje...ao wanaotoka km masharobaro/mabrazamen wakoje...
wenye tabia zakiume na waliotulia kifikra za kiume huwez kuwaona wanajireeeemba wanavaaaa vya gharama....
..wale wenye matatizo ndo wanajaribu kutafuta vya KUWAVUTIA WASICHANA /WATU ILI WAONEKANE..ndo apo sasa suti ya m1 wakat analala kwa rafik...kiatu cha laki 7 wakat analala kwa kaka...ahh sjui bwana bt wat i blv iz watu wanaopenda KUWA WANASERERE WA DUNIA R NT hubby materail.
 

Hivi hujampata tu Rose wa style hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…