Tutolee upotolo wako hapa dunia nzima ina nchi 180+ kwanini unanisemea wakati sijataja mtu yeyote hapa wewe unaugonjwa wa umbea ufitini majungu na uchonganishi.Hizi ni akili za mtu aliyekosa mtu wa kumlalamikia baada ya kulalamikia wazazi, ndugu na jamaa walio nje ya nchi au wenye nafasi Serikalini bila mafanikio, baadae lawama akazielekeza Serikalini, mwisho anaamua kumlalamikia kiongozi mwenye kinga kuliko wote. In short ni akili za mtu mlalamishi. Fanyeni kazi kukaa mnasumbuka kushindana na serikali mitandaoni mtaugua uchizi fresh. Serikali ndo hii na bado ipo ipo sana.
Siruhusiwi kutoka nje ya Afrika ?Yes... Tunakupeleka The Hague.