Yaani nyamayao yuko sahihi kabisa huyu unamkopa deni kubwa na si amezoea unarudishanga haurudishi na ndio inakua bye bye ye si kila mkikutana anakudai akikutafuta unamwambia kwa sasa sina pesa na naogopa nikikutana na wewe stori zako ni kukumbushia madeni tu, ila nikpata nitakutafuta anasubiri mpaka yesu arudi
Karibu maty naona umerudi tena,,,most wel come.......
Huyu kimbwe bana na yeye kaathirika ka dena huyuKimbweka hana lolote huyo anataka kuchekesha watu hapa ukumbini
NYAMAO NA MATY hili la kumkopa na kutokumlipa SIKUBALIANI nalo ksb linaweza kufata mazuri yooote miliyofanyiana wakati wa upenzi,,,pia siyo ustaarabu....lol
NYAMAO NA MATY hili la kumkopa na kutokumlipa SIKUBALIANI nalo ksb linaweza kufata mazuri yooote miliyofanyiana wakati wa upenzi,,,pia siyo ustaarabu....lol
ASANTE SWAWABHO kwa mchango wako,,asante sana NIMEKUELEWA.
WHAT????!!!!! KWELI NYAMA YAO LEO UMEPANIA,,,KWA HIYO UNAMWACHIA KUMBUKUMBU YA DENI ILI AENDELEE KUKUKUMBUKA SIYO,,,DA!!! lol
Wapenda pesa utawajua tu, bora mtu ukajitwalie kimwana toka kanda ya ziwa anachapa kazi shambani haumwi ovyoovyo na mzigo anakupa na pesa yako haitolei jicho yeye ni shughuli tu mwe