Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
KARIBU KEREN HAPPUCH, naona unaguna hapo ,,,lete maoni yako basi nini ushauri wako katka hili?? karibu sana.
da! haya nyama yao nimekuelewa japo ,,kwangu mh mh mh!!.......kwa jinsi anavyojua kudai nahisi hata usingizi utakosa japo polisi hatakupeleka lakin hiyo kero tu ya kudaiwa da! inaweza kukunyima raha ya kuwa na pesa yake mwisho utamlipa tu.
NYAMAO NA MATY hili la kumkopa na kutokumlipa SIKUBALIANI nalo ksb linaweza kufata mazuri yooote miliyofanyiana wakati wa upenzi,,,pia siyo ustaarabu....lol
Endelea kuomba usiku na mchana ili uendelee kutokukutana na mwanaume anayejua kudai.....nyamayao sikudanganyi wala sikutishi huyu anadai kweli kweli kiasi ambacho usipende kuondokana na hiyo kero utamlipa tu.....akikohoa, akihema,akinyanyua na kulaza kope za jiko, akitembea, yeye kazi ni moja ni kukumbusha kulipwa pesa yake.....
Sasa ya nini yote hayo si bora kuachana naye bila deni lolote????, na usipochukua pesa yake ni mpole,mtaratibu,mcheshi,anajitolea muda wake tu, 6 kwa 6 ndiyo usisema mzuri 100% kwa hayo yote,,,ubaya wake upo kwenye kutoa kitu kinaitwa pesa..hapo yaani ndiyo o kabisa.
si aolewe kwanza ndo athibitishe ubahili wa jamaa?!
Kuhonga ipo mama D, mbona sisi tunawahongaga?:drum: