Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.


<br />
<br />
Rose sijaenda kushoto hata kidpgo mapenzi sio pesa bana mtu aakuja kukuona hospital wewe unadai hakuletei kitu? Yeye kuja ni muhimu kuliko pesa

 
Huyo mdada nimemvulia kofia miaka tisa (9)? au nimesoma vibaya ni siku tisa wajameni ee
 
Wanawake wa cku hizi wanadhani wanaume ni atm kwenye mapenzi ni kusaidiana usutegemee kupewa tuu jamani mubadilike.hela ni ngumu sana kwa hiyo msitegemee kupata kwa wanaume hata na nyie mnapaswa kutoa.ukitolewa outing lazima na wewe uchangie usiache mwanaume anunue tuu,
 

Hebu waambie wakusikie
 
MATY, lol, SIYO SIKU TISA NI MIAKA TISA (9).... huyu dena sidhani kama anamaanisha nahisi anatania na haya majibu yake.
 
maty bora useme ww,,hata mi nahs ni cku tisa maana kubeba mzigo miaka 9 unaweza kufia njiani,,,,achana na dena mi namwelewa


Msimamo wangu uko pale pale WL toa pesa jaza mafuta shida nini bana?? Hebu acheni kujiendekeza ha hah aha ha ha
 
MATY, lol, SIYO SIKU TISA NI MIAKA TISA (9).... huyu dena sidhani kama anamaanisha nahisi anatania na haya majibu yake.
Dena huyo mi nishamzoea bana siku ya wajinga ya mwaka huu imemuathiri sana na msishangae akaendelea hivi hivi mpaka April 1, 2012 msameheni bure.

Jamani huyo dada miaka tisa alikua kipofu au? mi nilishawahi kutana na mbaba wa hivyo nilimpa miezi 6 tu nikamtimua, hivi huyo dada miaka tisa hakyanani mwe!
 

nadhani hujasoma thread ukaielewa,,,,
 


Ha ha ha ha bado unahasira ya siku ya wajinga ulivyonitumia sms ya kushituka nikakwambia siku ya wajinga ukataka kuzimia??? Pole mie niko siriazi kweli ujue Maty hebu acheni mambo hayo bana
 
Msimamo wangu uko pale pale WL toa pesa jaza mafuta shida nini bana?? Hebu acheni kujiendekeza ha hah aha ha ha

once in a blue moon nitaweka!!yani kama hiyo case ya hosp,,,ningempa notice nikiwa wodini,,,lolz
 
lol WISELADY ni kweli kabisa miaka tisa ni mingi sana, lakin aliweza ksb ya upendo alidhani labda engebadilika lakin hakuna mabadiliko,
na jibu la mama mkwe ndiyo lilimpa ukweli kabisa kuwa asahau kuhudumiwa ksb hata yeye hajawahi kuhudumiwa na mumewe kwa maisha yote waliyoishi waoote, huduma zoooooote anatoa mama isipokuwa ada tu ndiyo baba analipa.
Je maisha ya sasa hivi ni ya kuachiwa huduma mtu mmoja tu kibaya zaidi huyo mwenza wako akiwa nazo tu, bora hata kama masikini utasema kweli navumilia au hata kama ni mjane utasema ngoja tu njijipinde ksb mwenzangu hayupo,,,lakin yupo, pesa anayo ila kwako tu hataki mshirikiane,,,yeye anahudumia nduguze basi mke mpenzi jihudumie mwenyewe na nihudumie na mimi,,je kuna usawa hapo??? maisha yalivyobana hivi??? MAISHA KUSHIRIKIANA BWANA....
 
ha ha ha ha hah a eti ungempa notisi ukiwa wodini,,,du !!! wiselady wee kiboko......
lakin unadhani ukipenda unadhani unaweza kuwaza hivi??? kupenda upofu ....
 

inawezekana ni katabia kakwao ka urithi,maisha ni kusaidiana vinginevyo ni kujibebesha msalaba,,,,mwambie huyo rafikio amkabidhi kijiti dena yy apumzike
 
Msaranga, soma tena thread, nahisi HAUJAIELEWA,,,,,kwani KAMA NI KUTOA HUYU DADA ANATOA SANA SANA SANA NA ZAIDI YA KUTOA,,
NA WALA HATAKI,HATEGEMEI KUMFANYA HUYU JAMAA ATM YAKE,,,ANACHOTAKA YEYE NI KUSHIRIKIANA KTK MATUMIZI.
HATA AWE MBALI KIASI GANI LAZIMA BOYFRIEND WAKE ATAMJALI KWA GHARAMA YOYOTE ILE,,,
sasa jamani hata pipi ya sh 20 kwa miaka yote tisa,,akiomba basi ni U ATM???? hapo sasa sielewi kabisaaaaaaaa
 
ha ah hahaha,,DENA je upo tayari kupokea kijiti hiki????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…