Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

FIDEL80 hilo jibu lako mmh!! haya NIMEKUELEWA, ASANTE.
 
MI NI MALESHE......HAUJANIKWAZA ...... kwani AULIZAE ATAKA KUJUA.
 
huyu ningempata ningesubiri kwanza nimkope kiac fulani kikubwa cha pesa then ndio inakuwa goodbye yetu, kumrudishia cmrudishii na mapenzi yafe japo nifidie vile vi hela nilivyotumia hosp...lol...huyu mwanaume ni kituko cjapata kuona aisee.
 
Kwa heri maty, enjoy as much as u can......kwa heri mwalimuuu.......
 
huyu ningempata ningesubiri kwanza nimkope kiac fulani kikubwa cha pesa then ndio inakuwa goodbye yetu, kumrudishia cmrudishii na mapenzi yafe japo nifidie vile vi hela nilivyotumia hosp...lol...huyu mwanaume ni kituko cjapata kuona aisee.

Hahahaha inategemea mwanzoni mlianzaje kama ulikuwa unamuhonga basi anajua ni haki yake kurudishwa kila kitu anacho tumia.
 
Nyama yao hapo utakuwa unakosea kukopa na kutokomea na deni la mtu,,,kumbuka kuachana kimapenzi siyo kuachana kimaisha,,,,inapendeza sana mkiachana kwa usalama pasipo magomvi yatakayosababisha msisalimiane baadaye.

Lazima muachane kwa kuambiana sababu tena za msingi ambazo mmeshindwa kurekebisha , ili hata hapo mkionana mbaki kuwa marafiki wa kawaida tu,ikitokea hata shida msaidiane, au raha basi mwalikane kwa upendo tu. Kuachana kwa ugomvi hakupendezi duniani hata mbinguni.
 
Mi sikimbiii fidel80, nipo
nilikuwa namjibu nyamayao
 
Hapa naona unadumisha ila sheria ya mahawala hawaachani kamwe
 
FIDEL80 NAOMBA NIPE TAFSIRI YA KUHONGA??? mi nadhani sijaielewa,,hivi kumhudumia mumeo,mkeo,mpenzio,mchumba ni KUMHONGA?????
 
Mhh...kweli huyu naye amezidi! Upendo wa maneno matamu tu...hata zawadi hakuna jamani...mhh hapo kuna kazi!!
 
Wapenda pesa utawajua tu, bora mtu ukajitwalie kimwana toka kanda ya ziwa anachapa kazi shambani haumwi ovyoovyo na mzigo anakupa na pesa yako haitolei jicho yeye ni shughuli tu mwe
 
kwani ni mtu baki huyo c mpenzi wangu anaenijua ndani na nje?...huyu alitakiwa aagwe kwa dizaini hiyo halafu tunaachana kwa amani kwabisa, tena mie ntakuwa namcal/sms za kumjulia hali na kila kitu lakini sasa kama anataka nimrudishie na cna(hata kama ninayo) ntafanyaje? atanipeleka police? cna na hatujaandikishiana mahali c bac jamni au avute subira niapate mpaka kristu arudi....huyu mpenzi ni wa kukomolewa tu labda kawakuta nyie wakarismatiki.
 
H
ahahaha inategemea mwanzoni mlianzaje kama ulikuwa unamuhonga basi anajua ni haki yake kurudishwa kila kitu anacho tumia.

tena ningekuwa namhonga ndio ingekuwa mbaya zaidi coz huyu mtu hana utu pa1 na kumhonga kwangu bado anadai hela ya ki purple alichoninunulia nikiwa mgonjwa hosp?...hana ubinadamu hata cent.
 
tena ningekuwa namhonga ndio ingekuwa mbaya zaidi coz huyu mtu hana utu pa1 na kumhonga kwangu bado anadai hela ya ki purple alichoninunulia nikiwa mgonjwa hosp?...hana ubinadamu hata cent.

Hahahaha unaweza ukaombwa hata hela ya guest na condom kabisa huyu mwanaume ***** kabisa
 
huyu ningempata ningesubiri kwanza nimkope kiac fulani kikubwa cha pesa then ndio inakuwa goodbye yetu, kumrudishia cmrudishii na mapenzi yafe japo nifidie vile vi hela nilivyotumia hosp...lol...huyu mwanaume ni kituko cjapata kuona aisee.

Yaani nyamayao yuko sahihi kabisa huyu unamkopa deni kubwa na si amezoea unarudishanga haurudishi na ndio inakua bye bye ye si kila mkikutana anakudai akikutafuta unamwambia kwa sasa sina pesa na naogopa nikikutana na wewe stori zako ni kukumbushia madeni tu, ila nikpata nitakutafuta anasubiri mpaka yesu arudi
 
da hapa nilipo mbavu zinaniuma kwa kucheka,,asante saaana NYAMA YAO NA KIMBWEKA, HAYO MAJIBU YENU YA MWISHO YAMENIFANYA NICHEKE SANA SANA,,,ETI HAUTARIDHISHA MPAKA KRISTO ARUDI,,,,,du wee nyama yao kiboko..
 
Wapenda pesa utawajua tu, bora mtu ukajitwalie kimwana toka kanda ya ziwa anachapa kazi shambani haumwi ovyoovyo na mzigo anakupa na pesa yako haitolei jicho yeye ni shughuli tu mwe

Huyu nae, saa nyingine unaamkiaga wapi nawe bwana? si usome maelekezo kwanza? unaniangusha kweli
 
Karibu maty naona umerudi tena,,,most wel come.......
 
Kimbweka hana lolote huyo anataka kuchekesha watu hapa ukumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…