Je Mwanaume unavutiwa na mavazi ya aina gani kwa mwanamke

Je Mwanaume unavutiwa na mavazi ya aina gani kwa mwanamke

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
Mavazi ni sehemu muhimu ya kuonyesha unadhifu wa warembo.

Je wanaume wanavutiwa na mavazi yapi? hapa tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.

Wanawake wengi wanapenda sana kuvaa nguo zinazoweza kuvuta hisia kirahisi kwa wanaume.

Je hizi nguo ni kweli wanaume hawazipendi ama wanajifanya kuzichukia wakati mwingine huku wakitamani wanawake wavalie katika mavazi yatakayo weza kutoa picha halisi ya uzuri wa ndani wa mwanamke?

Mimi binafsi napenda mpenzi wangu avae nguo za kunivytia mpaka mimi na kunifanya nimtamani hata kama katoka kunipa tunda.
 
Mwananke avae nguo zinazomstiri mwili wote aonekane macho tu
 
Dah.......mimi wangu anapenda niwe kwenye suti yangu ya kuzaliwa...........yaani hii ovaroli.......anazimia kabisa..........
real hata mie, yaani tena kama ni mrembo kila kona panavutia, he he he he he, ndo napendaaaaaaaaaaaaa
 
Napenda avae nguo za kumsitiri lakin zimfanyazo avutie haswa.
 
..omg....!!nikaja mbio kuona vazi la ''jonsi''...poor me!
 
kitu dela banah.... yani ni mwendo wa kwachukwachu, af ukute kachomekea kwenye nanii pale kati!!!!
nb: flat screen hii haiwahusu
 
Ha ha.......Mwanza nakuja......usifikiri nimewatupa.......lazima deni lilipwe...........
Sema kweli hakyanani, tunakusubiri uje tukuonyeshe viunga vyote vya jiji letu la Mwanza!.
 
Je utapenda alivae nje ili walitamani wengine tunda lako?




Mavazi ni sehemu muhimu ya kuonyesha unadhifu wa warembo.

je wanaume wanavutiwa na mavazi yapi? hapa tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.

wanawake wengi wanapenda sana kuvaa nguo zinazoweza kuvuta hisia kirahisi kwa wanaume.

je hizi nguo ni kweli wanaume hawazipendi ama wanajifanya kuzichukia wakati mwingine huku wakitamani wanawake wavalie katika mavazi yatakayo weza kutoa picha halisi ya uzuri wa ndani wa mwanamke?

mimi binafsi napenda mpenzi wangu avae nguo za kunivytia mpaka mimi na kunifanya nimtamani hata kama katoka kunipa tunda
 
Back
Top Bottom