Dah.......mimi wangu anapenda niwe kwenye suti yangu ya kuzaliwa...........yaani hii ovaroli.......anazimia kabisa..........
..omg....!!nikaja mbio kuona vazi la ''jonsi''...poor me!
Sema kweli hakyanani, tunakusubiri uje tukuonyeshe viunga vyote vya jiji letu la Mwanza!.Ha ha.......Mwanza nakuja......usifikiri nimewatupa.......lazima deni lilipwe...........
Ha ha.......Mwanza nakuja......usifikiri nimewatupa.......lazima deni lilipwe...........
Sema kweli hakyanani, tunakusubiri uje tukuonyeshe viunga vyote vya jiji letu la Mwanza!.
Nakusubiri kwa hamu zote na nitakupokea kwa miguu na mikono......... :moony:
Nakuja wallah tena........nyie andaeni tu masamaki..........
..omg....!!nikaja mbio kuona vazi la ''jonsi''...poor me!
Mavazi ni sehemu muhimu ya kuonyesha unadhifu wa warembo.
je wanaume wanavutiwa na mavazi yapi? hapa tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.
wanawake wengi wanapenda sana kuvaa nguo zinazoweza kuvuta hisia kirahisi kwa wanaume.
je hizi nguo ni kweli wanaume hawazipendi ama wanajifanya kuzichukia wakati mwingine huku wakitamani wanawake wavalie katika mavazi yatakayo weza kutoa picha halisi ya uzuri wa ndani wa mwanamke?
mimi binafsi napenda mpenzi wangu avae nguo za kunivytia mpaka mimi na kunifanya nimtamani hata kama katoka kunipa tunda