K Kitokota Member Joined Jun 10, 2012 Posts 13 Reaction score 4 Sep 9, 2012 #1 Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria naomba mchango.
Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria naomba mchango.
S Seif al Islam JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 2,156 Reaction score 639 Sep 10, 2012 #2 kimsingi haiwezekani kwa sababu yy sio bodi nzima bali ni mumbe wa bodi.akishtakiwa ni kwa niaba ya bodi
kimsingi haiwezekani kwa sababu yy sio bodi nzima bali ni mumbe wa bodi.akishtakiwa ni kwa niaba ya bodi