Mbunge Wakimataifa
Member
- Jan 3, 2024
- 26
- 25
Shetani hayupo, Mungu hayupo, hizo ni vurugu za watu tu.Kuna hili suala la kila nyumba za ibada za kishetani zinapewa jina la kanisa na sio msikiti? Kitu gani kinawavuta kuita kanisa badala ya msikiti ili hali kanisa ni nyumba za ibada za wakristo kama ilivyo kwa waislam msikiti.
Je kuna mwenye majibu kuhusu hilo?
🙄Shetani hayupo, Mungu hayupo, hizo ni vurugu za watu tu.
Kwani wenye dini yao wenyewe wanasemaje?Kuna hili suala la kila nyumba za ibada za kishetani zinapewa jina la kanisa na sio msikiti?
Kitu gani kinawavuta kuita kanisa badala ya msikiti ili hali kanisa ni nyumba za ibada za wakristo kama ilivyo kwa waislam msikiti.
Je, kuna mwenye majibu kuhusu hilo?