Je, mwezi uliozaliwa kuna matukio gani makubwa yanayokumbukwa duniani?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Hakuna kitu kizuri kama kumbukumbu, japo kuna kumbukumbu mbaya na nzuri. Yote ni mipango hatuna budi kushukuru.

Je, mwezi uliozaliwa kuna matukio gani makubwa yanayokumbukwa duniani?
 
October alizaliwa mh.Jakaya Kikwete....
Barack Obama....
Diamond Platnumz....
Mzazi mwenzie Diamond Platnumz wa kule Kenya.....
Magenius wengi.....
Wanasiasa wakubwa....

Hata TEMBO Harmonize pia....

Nami muuza Al Kasus Msomi wa Kwa Mtogole pia....

Karibuni Kahawa Kijiweni kwangu!!
Asubuhi njema,aamin.

HAKIKA MAENDELEO HAYANA VYAMA.
 
Team october tuko pamoja...tumezaliwa na mwanamuziki anaitwa MYA
 
Mimi nimeacha yote watakuja kusema wengine, cha maana nachojua, mwezi niliozaliwa mie ni mwezi wenye sikukuu kubwa kuliko zote duniani, nayo si nyingine bali ni..!.

'Sikukuu ya Wajinga'..!
 
Tukio kubwanilo likumbuka ni siku ya leo watu wamekikeketa chama bila ganzi yaani....πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜œ
 
Mimi nimeacha yote watakuja kusema wengine, cha maana nachojua, mwezi niliozaliwa mie ni mwezi wenye sikukuu kubwa kuliko zote duniani, nayo si nyingine bali ni..!.

'Sikukuu ya Wajinga'..!
Valentine day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…