It is Sur_Plus
Senior Member
- Sep 28, 2010
- 167
- 7
Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama
Uti (Nigeria)
Munya(zimbabwe)
Lerato( SA)
Sheila (kenya)
Wakati huohuo kuja na shem wetu mpya toka Namibia Marly?
Kama vip mungu ambariki na God amblec aweze shinda.
ngoja nikampigie kura
dah ...nimekumiss....kituo cha kupiga kura ni wapi?
Hata akipata Us 200,000/= Mwisho utakuwa ndio Mwisho wake aheri asipate maana huko Sinza bar and wahudumus watamkoma,na atajiharibia buure afya yake,huo ndio ushauri wangu wa bwerereeeLeo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama
Uti (Nigeria)
Munya(zimbabwe)
Lerato( SA)
Sheila (kenya)
Wakati huohuo kuja na shem wetu mpya toka Namibia Marly?
Kama vip mungu ambariki na God amblec aweze shinda.
dah ...nimekumiss....kituo cha kupiga kura ni wapi?
Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama
Uti (Nigeria)
Munya(zimbabwe)
Lerato( SA)
Sheila (kenya)
Wakati huohuo kuja na shem wetu mpya toka Namibia Marly?
Kama vip mungu ambariki na God amblec aweze shinda.
e bana wewe,sio wote wapenzi wa politikiitategemea:
Kama atmpa kura Dr. Slaa, basi amebarikiwa na atalamba huo mpunga
Kama atampa JK, basi ajue atafulia tu
dah ...nimekumiss....kituo cha kupiga kura ni wapi?
nimekumic pia mupenzi lakini una wengi humu.kumbuka mimi muhehe:A S-rose:
e bana wewe,sio wote wapenzi wa politiki
ok mkuu nafungua thread nyingine tumpigie kura mwishoipotezee man. hata mimi napenda Mwisho ashinde.
mmmmmh mai pureta:biggrin1:acha kabisa...nawaacha wote...ni wewe tu uliye moyoni
ok mkuu nafungua thread nyingine tumpigie kura mwisho
achana na mambo ya politiki ya tanzania CCC watashinda hata kwa kuiba KULA.