Je my fair skin huduma zao ni nzuri

Je my fair skin huduma zao ni nzuri

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Wapwa habari za asubuhi

Mdogo wangu anasumbuliwa na changamoto ya chunusi ametumia dawa mbalimbali lakin Je Hawa watalaam wa ngozi wanajiita my fair skin wanaweza tatua changamoto hii

Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao anaweza leta feedback Hapa
 
Ungempeleka kwanza muhitaji wa huduma ili uhakikishe.Kufika,kuona na kupata huleta imani.Sisi washindani wao tunaweza kukuongopea kwa maslahi yetu.
 
Wapwa habari za asubuhi

Mdogo wangu anasumbuliwa na changamoto ya chunusi ametumia dawa mbalimbali lakin Je Hawa watalaam wa ngozi wanajiita my fair skin wanaweza tatua changamoto hii

Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao anaweza leta feedback Hapa
Dawa zipi amewahi kutumia ?.

Pia Ajaribu kubadili life-style huku akifanya skin-routine kwa kutumia vipodozi vyenye viambata vinavyosaidia kupambana na chunusi, kama salicyclic acid, glycolic acid nk. (ACNE COMBO KIT)
Screenshot_20241109-024814.jpg
 
Nimetoka hapo juzi branch ya kkoo
Nimefanya facial Huduma nzuri naendelea na product zao nione maendeleo
 
Wapwa habari za asubuhi

Mdogo wangu anasumbuliwa na changamoto ya chunusi ametumia dawa mbalimbali lakin Je Hawa watalaam wa ngozi wanajiita my fair skin wanaweza tatua changamoto hii

Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao anaweza leta feedback Hapa
Issue yake ni ya ki Hospitali we unampeleka Saloon
 
Back
Top Bottom