Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Zile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu.
Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni tena watu Konki wakitoka nje kuongea na Wanachama.
Hoja zote za uchumi, siasa, afya, michezo na sanaa anaIjibu Huyu Mzee Peke yake.
Niwaase wenye chama msipomsaidia Mzee Wetu Wasira atawahi kuchoka.
Vijana wa uvccm morali imeenda wapi? Huu ni muda wa kukipambania chama.
Juzi tu mmetoka kula wali na nyama dodoma sasa mboba mmejificha? Si mwaka wa uchaguzi huu?
Wako wapi Katibu Mkuu? Yuko wapi Mwenezi?
Vipi viongozi wa mikoa, wilaya na mabaraza??