Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tanganyika vijana wameisha. Wamebaki Vyawa tuZile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu.
Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni tena watu Konki wakitoka nje kuongea na Wanachama.
Hoja zote za uchumi, siasa, afya, michezo na sanaa anaIjibu Huyu Mzee Peke yake.
Niwaase wenye chama msipomsaidia Mzee Wetu Wasira atawahi kuchoka.
Vijana wa uvccm morali imeenda wapi? Huu ni muda wa kukipambania chama.
Juzi tu mmetoka kula wali na nyama dodoma sasa mboba mmejificha? Si mwaka wa uchaguzi huu?
Wako wapi Katibu Mkuu? Yuko wapi Mwenezi?
Vipi viongozi wa mikoa, wilaya na mabaraza??
Mbona wewo ??Kasongo katika ubora wake
🤣🤣Mbona wewo ??
Mkuu hizi picha zako hazihusiani na Mada yangu. Zifute tafadhaliKasongo katika ubora wake
Mbinu mbali mbali zote ni mapambanoTofautisha kupambana na kuropoka
Mweee......hii mpya sasaCCM kwisha habari yao. timu Sukuma Gang wanajiandaa na ukombozi.mpya kupitia Lissu.
Wamechoshwa kusukumwa na Mwenyekiti kama mikondoo machungani
Duh !!!Mkuu hizi picha zako hazihusiani na Mada yangu. Zifute tafadhali
Ndio nini hiki?Like a dinosaur
CCM ina utaratibu. Sasa hivi ni kipindi cha Makamu Mwenyekiti CCM Bara kujinadi. Sio kama Chadema eti siku Mwenyekiti wa Chadema Taifa Lissu anatoa hotuba yake ya kwanza kwa taifa kama Mwenyekiti ndio siku hiyo hiyo na wakati huo huo Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa nae anahutubia kwingine!Zile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu.
Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni tena watu Konki wakitoka nje kuongea na Wanachama.
Hoja zote za uchumi, siasa, afya, michezo na sanaa anaIjibu Huyu Mzee Peke yake.
Niwaase wenye chama msipomsaidia Mzee Wetu Wasira atawahi kuchoka.
Vijana wa uvccm morali imeenda wapi? Huu ni muda wa kukipambania chama.
Juzi tu mmetoka kula wali na nyama dodoma sasa mboba mmejificha? Si mwaka wa uchaguzi huu?
Wako wapi Katibu Mkuu? Yuko wapi Mwenezi?
Vipi viongozi wa mikoa, wilaya na mabaraza??
Hahaha unajiteteaCCM ina utaratibu. Sasa hivi ni kipindi cha Makamu Mwenyekiti CCM Bara kujinadi. Sio kama Chadema eti siku Mwenyekiti wa Chadema Taifa Lissu anatoa hotuba yake ya kwanza kwa taifa kama Mwenyekiti ndio siku hiyo hiyo na wakati huo huo Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa nae anahutubia kwingine!
Ujinga huo CCM chama kikubwa HAKIWEZI kufanya!!
Yeah usione kobe kainama