Je, na vyuo vya binafsi vinahitaji fizikia kwa kozi za uuguzi?

Je, na vyuo vya binafsi vinahitaji fizikia kwa kozi za uuguzi?

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
Wana JF

Kuna mtu ameniomba nimtaftie taarifa kuhusu fani ya uuguzi, katika pitapita zangu nikakutana na tangazo la wizara ambalo pamoja na sifa nyingine linahitaji alama D katika somo la fizikia.

SWALI:
je sifa hii inavihusu vyuo binafsi pia? maana sifa nyingine ametimiza isipokuwa hakuchua fizikia kidato cha tatu na nne.

KAMA SI SIFA KWA VYUO BINAFSI TAFADHALI NAOMBA MAJINA NA MAHALI VYUO HIVYO VILIPO,
GHARAMA{uuguzi ngazi ya cheti} NA NAMNA YA KUJIUNGA NA VYUO HIVYO.

NB;
Vyuo hivyo viwe vimesajiliwa

natanguliza shukurani.
 
Haiwezeni muuguzi asie jua hata themometer?
 
Kuna chuo kpo irnga aise hawaitaj fizkia ila cha prvate na anaingia m2 yeyote ata wa art.
 
uuguzi ni lazima usome physics kama ukisoma bila hivyo hutatambulika na tnms hata muuguzi wa kwanza florence hapendi
 
ucjiangaishe bure,veta wanatoa laboratory mwambie akapige pale apate cfa ya ziada
 
Mbona majanga sasa kuna watu kibao wanadai kuwa wanaenda nursing na uku waliacha masomo kama vile phy and chmstry.itakuaje endapo biolog y amefaulu vizur
 
ucjiangaishe bure,veta wanatoa laboratory mwambie akapige pale apate cfa ya ziada

laboratory ya aina gani mkuuk kwenye veta, maana kama laboratory science microbiology and immunology lazima uwe na D au C ya physics. hata uuguzi sku hiz umekuwa mgumu harafu unadili sana maana mishahara yao siyo mchezo iko vzuri sana. harafu kuna hii nurse anasthetia bwana usingizi wanapiga pesa ndefu sana na cfa wanayo
 
kuna maamuzi huwa tunayachukua kirahisi kumbe yana madhara makubwa baadae. angalia kinachomkuta maskini kwa uamuzi tu wa kuacha fizikia, da!
 
Je ukiwa na D ya bios na D ya physics pamoja na chemistry E ...hapa utaruhusiwa kusoma kozi gani ya afya?
 
Back
Top Bottom