chuogani hicho unachongelea au una ota ndoto?Kuna chuo kpo irnga aise hawaitaj fizkia ila cha prvate na anaingia m2 yeyote ata wa art.
kimesajiliwa? kinaitwaje?
uuguzi ni lazima usome physics kama ukisoma bila hivyo hutatambulika na tnms
ucjiangaishe bure,veta wanatoa laboratory mwambie akapige pale apate cfa ya ziada
laboratory ya aina gani mkuuk kwenye veta, maana kama laboratory science microbiology and immunology lazima uwe na D au C ya physics. hata uuguzi sku hiz umekuwa mgumu harafu unadili sana maana mishahara yao siyo mchezo iko vzuri sana. harafu kuna hii nurse anasthetia bwana usingizi wanapiga pesa ndefu sana na cfa wanayo
Je ukiwa na D ya bios na D ya physics pamoja na chemistry E ...hapa utaruhusiwa kusoma kozi gani ya afya?