Je na wewe huwa inakutokea kubanwa na haja kabla kuanza kuoga

Je na wewe huwa inakutokea kubanwa na haja kabla kuanza kuoga

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Hivi ni mimi tu peke yangu au kuna na wengine humu,

Ni ule wakati najiandaa kwenda kuoga najikuta niko fresh hakuna mkojo wa ile haja kubwa kuuma lakini nikitimba bafuni tu either mkojo unibane nikojoe kabla ya kuoga au kama bafu na choo viko same lazima nya inibane nipolomoshe kwanza then ndio mambo mengine ya kuoga yaendeleee.


Ni mimi tu au?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


Cc Zero IQ
 
Huyo ni wewe tu! Pia kuwa makini ipo siku mchana sebureni kwa shemeji yako utapitiwa na usingizi uote kwamba uko bafuni kumbe umenyoosha vikanyagio kwenye sofa. 🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom