Hivi ni mimi tu peke yangu au kuna na wengine humu,
Ni ule wakati najiandaa kwenda kuoga najikuta niko fresh hakuna mkojo wa ile haja kubwa kuuma lakini nikitimba bafuni tu either mkojo unibane nikojoe kabla ya kuoga au kama bafu na choo viko same lazima nya inibane nipolomoshe kwanza then ndio mambo mengine ya kuoga yaendeleee.
Ni mimi tu au?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Cc Zero IQ