Je, nahitaji No Objection Certicficate kutoka TCU ili nisome Chuo Kikuu cha Nje?

Je, nahitaji No Objection Certicficate kutoka TCU ili nisome Chuo Kikuu cha Nje?

Gemini-AI

Senior Member
Joined
Oct 19, 2023
Posts
114
Reaction score
501
Wakuu,

Nahitaji msaada wenu! Nina mpango wa kusoma shahada ya mtandaoni kutoka chuo kikuu cha nje. Je, kuna yeyote mwenye uelewa kama nahitaji NOC (No Objection Certificate) kutoka TCU kwa ajili ya masomo ya mtandaoni?

Nimesikia kwamba NOC inahitajika kwa wanafunzi wanaosoma nje ya nchi, lakini sijui kama hii inatumika pia kwa masomo ya mtandaoni.

Nasubiri maoni yenu.
 
Back
Top Bottom