Je, Naibu Spika Zungu ana busara na uzalendo kuliko Dkt. Tulia?

Je, Naibu Spika Zungu ana busara na uzalendo kuliko Dkt. Tulia?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Naona kwa wapenda maendeleo hawa wabunge ambao hawana mvuto wala kupedwa kisiasa ndiyo wanakuwa tatizo.

Zungu mfano hana tatizo lolote na mabadiliko ya katiba wala nchi kwasababu ana mvuto na kuelewa siasa. Dr Tulia hajawahi kushinda chochote wala kupedwa na ndiyo maana anahangaika.

Ni wakati wa kumfikiria huyu kiongozi kuliko huyu dada tapeli.

EDE3088E-2022-4659-88C4-D45BF7935DA0.jpeg
 
Ukiwaondoa Viongozi wa 3 wakubwa wa Serikali Rais Mama Samia ,Makamu wa Rais Mr Mipango na Waziri Mkuu Mr Kassim Majaaliwa.

Viongozi Waliobakia wote ni wabovu hakuna hata mmoja mzuri si wabunge na wala Sio Viongozi wa Serikali na chama cha CCM yenyewe kibovu Kimepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom