KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nilikutana na maneno yafuatayo.
i. Kama ndoto yako haijatimia endelea kulala.
ii. We lala si tufanye kazi utakula ulichokiota.
Je, namba moja inajibu hii ya pili au ya pili ndio inajibu hii ya kwanza?