K KAKA NASOKI Senior Member Joined May 25, 2016 Posts 191 Reaction score 212 Nov 11, 2020 #1 Nilikutana na maneno yafuatayo. i. Kama ndoto yako haijatimia endelea kulala. ii. We lala si tufanye kazi utakula ulichokiota. Je, namba moja inajibu hii ya pili au ya pili ndio inajibu hii ya kwanza?
Nilikutana na maneno yafuatayo. i. Kama ndoto yako haijatimia endelea kulala. ii. We lala si tufanye kazi utakula ulichokiota. Je, namba moja inajibu hii ya pili au ya pili ndio inajibu hii ya kwanza?
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Nov 11, 2020 #2 Namba mbili ni muendelezo wa namba moja.