Je, namba zinazoandikwa nyuma ya jezi za wachezaji zina maana gani?

Mtu anaweza kuuliza swali serious lakini akajibiwa pumba Sana.

Humu kuna losers wengi sana ambao hawajui umuhimu wa kujibu vitu serious kwa u serious.
Kuna namna nyingi za kujibu swali ikiwemo kumuuliza maswali ili kumfanya muuliza swali ajijibu mwenyewe. Au umezoea Spoon feeding?
 
mkuu kuna watu wanajibu pumba sana naona niwapotezee tu, BACK TO YOUR POINT ni kwamba
hata mimi nilikua najua hv ila nikafatilia , bd ckupata jbu mfano aishi maula anavaa jez no 28 na yupo first eleven pia hata samata nae alianza na 77 then 10, ona okwi anavaa no 7 kama ckosei kutakua na maana flan ,
 
Kuna namna nyingi za kujibu swali ikiwemo kumuuliza maswali ili kumfanya muuliza swali ajijibu mwenyewe. Au umezoea Spoon feeding?
acha kufata mkumbo wewe , spoon fd kvp kwa hyo nikijibu jez ya samata ndo ntakua nimepata jbu langu, we hujawah kuchek mchezaji nguli akisajiliwa wanatangaza tunampa no ngap tena unakuta badae anabadilishiwa
 
Mkubwa namba ni utambulisho ukiwa uwanjani ndo maana mchezaji akifanya kosa refa anandika namba ya mchezaji usika na sio jina
 
Hili swali halijapatiwa majibu. Kinachoulizwa hapo ni ZINA MAANA GANI sio za nini.
 
1. Utambulisho kwa referee! Ktk matukio ya yellow ama red card ni kupoteza muda kwa referee kuanza kuandika majina... Number ndio the simplest way!

2. Namba ya Jezi ni biashara! Cristiano ni maarufu kama CR7... CR7 ni brand na ni jina la kiatu na hivo ni biadhara! Thienry Henry alikuwa maarufu pale arsenal kama T14.... Ikawa brand yake... Na baadae akaanzisha ONE FOR ALL (1 4ALL) Foundation!

3. Namba ndio njia nyepesi zaidi kwa mtangazaji wa Mpira kuweza kumtambua mchezaji kuliko majina!

4. Namba pia hutumika kuwapotosha timu pinzani... Mf game ya Tanzania na Uganda... Erasto Nyoni alivalishwa T-shirt Namba 14 badala ya namba yake ya Siku zote namba 4! Ktk game hii stars hawakuwa na majina mgongoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…