Naomba kufahamu ni namna gani makampuni ya mikopo mtandaoni hasa yanayotoa mikopo kwa watumishi wa uma yanatambua kua mtu ni mtumishi wa umma? Sababu ukiingia tu kwenye utumishi wa umma unaanza kupokea meseji zakuhamasisha kukopa ingawaje hujawai kuwapa taarifa za mawasiliano na wengine hufika hadi hatua ya kukupigia wakikushawishi kukopa.
Je, ni nani hutoa hizo namba za simu kwa wenye makampuni ya mikopo?
Je, ni nani hutoa hizo namba za simu kwa wenye makampuni ya mikopo?