Je, nani mhusika wa hizi Jezi feki mitaani?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Je, nani mhusika wa hizi Jezi feki mitaani?

Je, ni watengenezaji huamua kurudufu kwa mlango wa nyuma ili Club zisipate?

TBS, Simba, Yanga, Vunjabei, GSM, TISS, TPA, TRA, FCC, TAA

Hakuna kinachoingia nchini kwa wingi bila watajwa juu kuhusika.

Je huko bandarini na Airport inakuwaje Jersey feki zinapita?

Je wahusika wameamua kukaa kimya na kuacha liwalo na liwe?

Hizi Club, Simba na Yanga zinafaidi kwenye hizi jersey feki, maana wao ndo walitakiwa valia njuga zisiwepo mtaani kwani uwepo wa jersey feki nyingi maana yake vilabu havipati....

Je Watengenezaji wanahusika, maana haiwezekani mtengenezaji anatoa hela nyingi afu mwisho wa siku anakuta feki zimejaa KKOO...

Je, Serikali imeruhusu na inalinda ili ipate kodi?

NB: Leo nimekuta Jersey za Yanga zikiuzwa Mtaa wa Raha Kariakoo, zinauzwa chini na hizi jersey hazina hata wiki ila tayari feki zipo, je GSM anahusika ili apate kupitia mlango wa nyuma?

Hebu tujadili bila ushabiki
 
Hili ni jambo fikirishi
 
Mbonaa bongo kawaidaa mkuu Jez oG 30000 ,zilee zinazomwagwa chin kariako cjui n feki au OG wanauza sh 7000 nazan ndio zinauzikaa kuliko Jez zilizopo dukanii,naamin ktk hilii timu na mtoa jezi wanajua hilii
 
Mi nadhani watengeneza jezi kama vunja bei na gsm wanapitia mlango wa nyuma kupiga vilabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…