Wakuu,poleni na majukumu ya kujenga taifa, mimi ni mjasiliamali,nimekaa na kufikilia how to employ my self lakini kikwazo ni kupata area ya kufanyia biashara, hasa ya mbao along road reserve bkoz ndy area inayonekana kirahis kwa wateja wengi,tayali nakaribia kuvuna misitu yangu mufindi mda wa kiangazi.ebu wadau nipeni utaratibu ntapataje permit mana sihitaji kujenga structure yyote!!!