Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naruhusiwa kunywa kilevi cha aina yoyote ile nikiwa under antibiotics dose??
Naruhusiwa kunywa kilevi cha aina yoyote ile nikiwa under antibiotics dose??
Mkuu@Tume ya katiba angalia maneno yako usije kuwatukana watu naona unakuja ju ile mbaya wajibu vizuri kiungwana usiwajibu kwa matusi au kihuni asante nakuomba samahani kama nimekukwaza Mkuu wangu.Kama alivyosema mchangiaji mmoja ANDIKA WOSIA kisha kunywa dawa na shushia kwa konyagi, wiski na hata ikiwezekana gongo.