Ni taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.
Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa afrika labda hazina kiasi hicho cha hela yangu je?naweza/ruhusiwa kufungua acount bank ya dunia?ni vigezo gani labda vinatakiwa ili niweze.
World bank sio kama these normal banks ambazo unaweza kuweka hela na kukopa.Ni taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.
Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa afrika labda hazina kiasi hicho cha hela yangu je?naweza/ruhusiwa kufungua acount bank ya dunia?ni vigezo gani labda vinatakiwa ili niweze.
Nisaidie kuhahamu jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?Huwezi kufungua account World bank.
Hata wafanyakazi wa world Bank hawana account ndani ya world bank.
Ila unaweza kua member wa world bank kwanza kwa kujiunga na IMF kama nchi na siyo mtu binafsi...
World bank ipo kwa ajili ya kushughulika na ma- benki siyo kwa shughuli za ki-benki
_____________________________________________________________________________________________________
1.World Bank provides various technical services to the member countries.
2. Bank can grant loans to a member country up to 20% of its share in the paid-up capital.
3. The quantities of loans, interest rate and terms and conditions are determined by the Bank itself.
4. Generally, Bank grants loans for a particular project duly submitted to the Bank by the member country.
5. The debtor nation has to repay either in reserve currencies or in the currency in which the loan was sanctioned.
6. Bank also provides loan to private investors belonging to member countries on its own guarantee, but for this loan private investors have to seek prior permission from those counties where this amount will be collected.
Cc: mahondaw
Naomba unielimishe jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?World bank sio kama these normal banks ambazo unaweza kuweka hela na kukopa.
Utendaji wake ni tofauti.
Unlike a normal bank ambayo inakopesha WATU na COMPANIES na kwa kutumia hela zilizokuwa deposited na wateja (wenye accounts). World bank inakopesha NCHI for specific projects ambazo wanataka ku-finance na hela zinatokana na donations. Hivyo hauwezi kufungua account ya kutunza fedha zako kule.
Kule hawakatai zinapokelewa sema zitakutesa ubebaji wake tuuAsante kaka,
Ukijibiwa na Mimi unijulishe nipeleke hela yangu ya matikiti maji. Ila sina hakika kama wanapokea Shilingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]Uwe na vitambulisho Cha nida na barua ya mwenyekiti wa mtaa plus passport picha mbili hawana shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo haiwezekaninadhani Bank ya dunia ni bank ya ma BOT ya nchi zote so huwezi wewe individual kumiliki acc, ingewezekana kina pablo escobar na kina ferdinand marcus wangekuwa nazo hizo acc huko maana walikua na fedha za hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile hela zao wanazokopesha wao wanazipataje.World bank sio kama these normal banks ambazo unaweza kuweka hela na kukopa.
Utendaji wake ni tofauti.
Unlike a normal bank ambayo inakopesha WATU na COMPANIES na kwa kutumia hela zilizokuwa deposited na wateja (wenye accounts). World bank inakopesha NCHI for specific projects ambazo wanataka ku-finance na hela zinatokana na donations. Hivyo hauwezi kufungua account ya kutunza fedha zako kule.