Najua Tanzania tender ya mwisho ya kuchapa hela ilishinda kampuni ya German na zinakuwa printed huko, kama kuna taarifa mpya wadau watanisahihisha.
Kuna thread hapo chini naiambatanisha, inaeleza vizuri.
Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa - JamiiForums