Hello Great thinkers!
Nilikuwa nafatilia kurekebisha jina lililokosewa kwenye kitambulisho changu cha NIDA nikagundua kuwa inachukuwa muda sawa na kujaza UPYA form ya NIDA registration UPYA . Shida yangu Ni ya mwezi huu huu wa 10.
Alternative ni (Voters ID), Cha mpiga KURA, Ambacho sina.
NAULIZA: Je, huwa zinatengenezwa kipindi hiki pia? au Mpaka kwenye kura tu?
i hope kwamba hazina milolongo mingi na foleni kibao kama National ID kwasababu wanaoshulikia (Voters ID) naamini ni wachache.