Je, naweza kuambukizwa/kuhisi hamu ya kukojoa mkojo?

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Habari wakuu,

Hiki ni kitu ambacho huwa mara kwa mara kinanitokea na yawezekana hata wewe imeshawahi kukutokea.

Mfano: Mnaweza kuwa kuwa group la watu kama tano mpo pamoja mnatembea, kati yenu mmoja akianza kukojoa mkojo tu basi group lote mnaweza mkawa na hiyo hali ya kutaka kukojoa na mkakojoa at the same time na mahali pale pale.

Swali kwa Madaktari: Je hii hali inasababishwa na nini?


Nawasilisha.
 
ndip inawezekana, yani kile kitendo cha mmoja kuanza kinaweza kumuathiri mwingine kisaikolojia,ubongo unaona kuwa hiyo ni sehemu nzuri ya kuruhusu mkojo na viungo husika vinarespond....

ni sawa na mtu akibanwa mkojo ukiwa mbali na choo unaweza kujizuia ila ukifika tu chooni hata kujizuia inakuwa ngumu maana tayari ubongo inatambua kuwa happ ni eneo husika la kutua mkojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…