Je naweza kuanza kutumia duphaston wakati npo kwenye MP?

dash m

Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
81
Reaction score
7
Habari za leo jfm doctors..nina tatizo la polycystic ovary doctor kaniandikia duphaston nlipofika nyumbani nikaanza MP.

Je? Naweza kuanza dose au mpaka nimalize Mp?
 
Subir kwanza umalize mp, ni vizuri ukameza siku ya 11 ya mzunguko
 
Habari za leo jfm doctors..nina tatizo la polycystic ovary doctor kaniandikia duphaston nlipofika nyumbani nikaanza MP.

Je? Naweza kuanza dose au mpaka nimalize Mp?

Subir umalize mp kwanza na ni vizuri ukaanza doz siku ya 11 tangu umeanza mp
 
Back
Top Bottom