inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Wadau salam,nina premio Old,7A.Nataka niibadili iwe 5A maana ninahisi 7A matumizi ya mafuta ni makubwa.Sasa swali langu,je nitahitaji kubadili nini na nini.
Nasubiria ushauri kutoka kwa watalaam na wanaojua mambo haya.
Nasubiria ushauri kutoka kwa watalaam na wanaojua mambo haya.