Wakuu mimi nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na kupata dalaja la pili point 20, na kachaguliwa kwenda A level sasa anamwenzake amechaguliwa chuo apo DIT anasema uyomwenzake awezi kwenda apo chuo sasa anataka nikamwombe iyo nafasi aende kwani yeye akujaza shule ila kutokana na ufaulu wake kapelekwa shule. Sasa naomba ushauliwenu kwanza nikienda tamisemi kweli naweza pata iyo nafasi kwa sasa nikiomba.