Je,naweza kuibiwa pesa benki kwa mtu kujua namba yangu ya siri?


M2 wangu hawezi kukuibia mpaka awe na kadi yako pia.
 
Ataiba kama ana kadi yako ya ATM. Bila kadi hawezi kuiba, it is password plus atm card.
 
Asante,ila wengine wanasema anaweza kukuibia hata kama hana kadi.
 
do u that ur password is a case sensitive bro,dont try that again,wezi wengine hata wakijua hyo wanaweza kukomba hela ila mara nying hadi akiwa na atm yako na wengine hata wakiona namba za kadi tu na si lazima passwrds kuna mchez anaweza kuufanya akakomba hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…