Je naweza kuishitaki kampuni ya simu?

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Wenye taaluma ya sheria naombeni mnisaidie nawezaje kuishitaki kampuni ya simu ambayo imekuwa ikishindwa kuweka wazi miamala ya pesa iliokatwa kimakosa na kampuni husika na ni tatizo la kujirudia kila mara na hajalipatia ufumbuzi jambo ambalo limenigharimy si chini ya laki sita? Nianzie wapi na nani nionane nae ili aweze kunisaidia kisheria kuhusu wizi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…