Je naweza kukopesheka, ni suala la kujivunia?

Je naweza kukopesheka, ni suala la kujivunia?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Kukua kiuchumi kuna kanuni zake. Na moja ya kanuni hizo ni kutokuwa na madeni yanayokuumiza.

Nimesikia hivi karibuni mtu mmoja anasema yeye bado anakopesheka na hivyo kusherehekea kwa bado ana sifa hiyo.

Je, kukopesheka ni suala la kushabihikia?

Asante
 
Hii ni ngoma kali sana inaitwa Tunakopesheka by Tai la matai Bendera Ft Chura la machura Kiziwi
 
Ndiyo, kukopesheka ni suala la kujivunia.

Inaitwa "creditworthiness".

Nchi kama Marekani kuna mpaka credit score, ukiwa nayo kubwa hata mikopo unapewa kwa interest ndogo zaidi. Unaaminika utalipa kutokana na credit record yako.

Ila, ukiendelea kukopa kila siku kwa kutamba unakopesheka, bila kulipa madeni vizuri, siku moja utakuwa hukopesheki.
 
Yes! Anaweza shabikia swala hilo. Ni nafasi haadhim.
Linapokuja swala la madeni, ukishakuwa kiuchumi, uwezo wa kupata mshahara, au mapato na uwezo wa kupata mkopo. Unachotakiwa ni kuweza kufanya maendeleo kama uwekezaji, either biashara, au kujenga. Maana umri ni mfupi wa uwezo huo. Kujenga at 50's is losting your path.
Hivo yes uwezo wa kukopesheka. Yakupasa ujiamini kabisa.
 
RIP jiwe
Screenshot_20240411-194834~2.jpg
 
Kukopesheka ni jambo jema ila kukopa ni aibu. Embu jiulize hata wewe binafsi inapotokea unataka kukopa dukani kuna ka aibu unajisikia.
Sijawahi ona au kusikia mtu anajisifia kwamba ninakopesheka ngoja niende dukani kwa mangi nikakope.
Lazima kuna hali flani ya kujishusha na aibu flani unajiona kabisa kama ni mtu flani uliyeshindwa.
Ndio maana wengine kulipo kukopa unaamua hata uuze kitu chako cha thamani kubwa kwa hela ndogo ili uepuke aibu ya kukopa
 
Pesa za kuletwa tu acha wakope, maana wanaotengeneza ni wazungu
 
Back
Top Bottom